Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Jangwani si wanarogana?Aisee huyu jamaa alikuwa kimeo sana aisee yaani anaeza bakia na goli halafu akapaisha baada ya hapo sasa, anajilaumu mbaya. 😀😀
Sema nilisikia kama huko alikoendaga alikuwa anafumania nyavu eti. 😀