Mtoboatonge.
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 242
- 74
Metacha ni poa tu maana alikuwa ameanza kupandisha mabegaWazee shikalo na metacha wametemwa uko
Pale kati hakika patawaka moto, maana jamaa yupo vizuriAucho [emoji172][emoji169]
Hata Sarpong alikuwa vizuri, mwisho wa siku kule mbele moto uligoma kuwaka. Usajili ni kamari...Pale kati hakika patawaka moto, maana jamaa yupo vizuri
Tumemsaini Djigui Diarra golikipa kutoka Mali
Na anadaka hadi upepo. Teh teh.nasikia ni mikono buku uyu
Tumemsaini Djigui Diarra golikipa kutoka Mali
Japo mikia wanaweweseka mbaya kuna uzi wanadai eti kafungwa goli 50 msimu mmoja? 🤔🤔nasikia ni mikono buku uyu
Sasa huyu atadaka na nani au ndo wanamtegemea Kabwili?Wazee shikalo na metacha wametemwa uko
Nimejikuta wananikera hasa baada ya kusikia wanamuuza Tuisila. 🙁🙁Wanatambulishwa wachezaj kila uchao
VP SHABAN DJUMA atatambulishwa lini jaman siyo Eng Hersi SAID anatuhadaa jaman katuona ss mambumbumbu anaweza kufanya atakalo juu yetu?
,,,==Muda utaongea,^^^^^^^_^
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kumbe walishamaliza mkataba.Wazee shikalo na metacha wametemwa uko
Numesikia mahala kwamba Huyo kipa aliyesajiliwa na Yanga ana historia ya kubeba makombe mpaka makwapa yanamuuma.Wanasema ni kipa mzuri sana amependekezwa na kocha mwenyewe.Wanaobeza wacha wabeze midomo ni mali yao lakini muda utasema watajutia kauli zao na kutukimbia humu mitandaoni.Japo mikia wanaweweseka mbaya kuna uzi wanadai eti kafungwa goli 50 msimu mmoja? [emoji848][emoji848]
Hatujawahi fanya usajili wakaacha vibweka.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Kweli kabisa usemalo Mkuu muda ndo mwamuzi mzuri na sio hizi tantalila.Numesikia mahala kwamba Huyo kipa aliyesajiliwa na Yanga ana historia ya kubeba makombe mpaka makwapa yanamuuma.Wanasema ni kipa mzuri sana amependekezwa na kocha mwenyewe.Wanaobeza wacha wabeze midomo ni mali yao lakini muda utasema watajutia kauli zao na kutukimbia humu mitandaoni.
Maneno ya kishabiki tu hayo.. Profile yake imeshiba, kacheza national team zaidi ya game 45,kaishawahi chaguliwa katika kikosi bora cha caf as sub, akiwa na timu ya vijana kabeba vikombe zaidi ya vi3, profile yake imeshiba kuliko goalkeeper yoyote tz, tusubiri wakati utazungumza...Japo mikia wanaweweseka mbaya kuna uzi wanadai eti kafungwa goli 50 msimu mmoja? [emoji848][emoji848]
Hatujawahi fanya usajili wakaacha vibweka.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Duuh!! Shukrani sana kwa hizi taarifa mana nilikuwa nasubiria nipate chance nianze kumsaka huko google na youtube nikamuone.Maneno ya kishabiki tu hayo.. Profile yake imeshiba, kacheza national team zaidi ya game 45,kaishawahi chaguliwa katika kikosi bora cha caf as sub, akiwa na timu ya vijana kabeba vikombe zaidi ya vi3, profile yake imeshiba kuliko goalkeeper yoyote tz, tusubiri wakati utazungumza...
[emoji881][emoji881][emoji881]
Honours zake hizi hapa chini... Ila kisinda msingemuuza, kisinda fundi saana kakosa watu tu msimu ulioisha.. Inabidi tz tuwe na timu 3 za moto tukakinukishe caf huko, naona azam nae kajitahidi kusajili sijui impact yake uwanjaniDuuh!! Shukrani sana kwa hizi taarifa mana nilikuwa nasubiria nipate chance nianze kumsaka huko google na youtube nikamuone.
Hilo la kisinda hata na mie nimeumia aisee japo sijajua uongozi umewaza nini mpaka sasa.Honours zake hizi hapa chini... Ila kisinda msingemuuza, kisinda fundi saana kakosa watu tu msimu ulioisha.. Inabidi tz tuwe na timu 3 za moto tukakinukishe caf huko, naona azam nae kajitahidi kusajili sijui impact yake uwanjani
[emoji881][emoji881][emoji881]View attachment 1886846
[emoji23]Hilo la kisinda hata na mie nimeumia aisee japo sijajua uongozi umewaza nini mpaka sasa.
Japo kiukweli alijua sana kuwanyanyasa Babu Onyango na Mohamed Hussein ambao kwa sasa itakuwa wanashukuru mno. [emoji3][emoji3]