Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Baada ya manunu fc kujidanganya kwamba Shaban Djuma haji...
Huu ndio mshangao Walioupata baada ya Djuma kutambulishwaView attachment 1891942
FB_IMG_16289367765450917.jpg
 
Ahsante. Ndio ninavyoomba Mtani na kama hao Rivers sidhani kama wana maajabu sana endapo Yanga tutazichanga karata vyema hasa hapa kwa Mkapa.
Kwa usajili wetu msimu huu labda bahati tu isiwe upande wenu Ila sion mkishindwa fika group stage
 
Numesikia mahala kwamba Huyo kipa aliyesajiliwa na Yanga ana historia ya kubeba makombe mpaka makwapa yanamuuma.Wanasema ni kipa mzuri sana amependekezwa na kocha mwenyewe.Wanaobeza wacha wabeze midomo ni mali yao lakini muda utasema watajutia kauli zao na kutukimbia humu mitandaoni.
Ha ha ha ha anadaka chochote kinachotaka kuvuka mstari Wa goli
 
Hilo la kisinda hata na mie nimeumia aisee japo sijajua uongozi umewaza nini mpaka sasa.

Japo kiukweli alijua sana kuwanyanyasa Babu Onyango na Mohamed Hussein ambao kwa sasa itakuwa wanashukuru mno. [emoji3][emoji3]
Ha ha ha ha ha hawana tofauti sana na huyu mbadala wake "Jesus Ducapel Moloko" labda tofauti yao ni vimo tu ila kasi anayo sana. Tabu kwa wazee iko palepale tu!
 
Viyu inavyofanya yanga kwenye usajili n vtu hufanywa na timu zetu za ndondo, kila msimu mnasajili wachezaji wapya kikosi kizima.
Dunia nzima hufanywa na Yanga na timu za Ndondo
 
Back
Top Bottom