Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ahsante. Ndio ninavyoomba Mtani na kama hao Rivers sidhani kama wana maajabu sana endapo Yanga tutazichanga karata vyema hasa hapa kwa Mkapa.Hongeran mtani, this time Group Stage mnafika , naona mmepewa saiz yenu