Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ahsante. Ndio ninavyoomba Mtani na kama hao Rivers sidhani kama wana maajabu sana endapo Yanga tutazichanga karata vyema hasa hapa kwa Mkapa.
Kwa usajili wetu msimu huu labda bahati tu isiwe upande wenu Ila sion mkishindwa fika group stage
 
Ha ha ha ha anadaka chochote kinachotaka kuvuka mstari Wa goli
 
Hilo la kisinda hata na mie nimeumia aisee japo sijajua uongozi umewaza nini mpaka sasa.

Japo kiukweli alijua sana kuwanyanyasa Babu Onyango na Mohamed Hussein ambao kwa sasa itakuwa wanashukuru mno. [emoji3][emoji3]
Ha ha ha ha ha hawana tofauti sana na huyu mbadala wake "Jesus Ducapel Moloko" labda tofauti yao ni vimo tu ila kasi anayo sana. Tabu kwa wazee iko palepale tu!
 
Viyu inavyofanya yanga kwenye usajili n vtu hufanywa na timu zetu za ndondo, kila msimu mnasajili wachezaji wapya kikosi kizima.
Dunia nzima hufanywa na Yanga na timu za Ndondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…