Hakika na sio kwenye Soka hata Serikalini tunayaona kila kukicha.Maisha ya sasa kila sehemu ni unafki tu
Uko serikalini ndo sipataki kupasikia kabisa apa natamani ligi ianze tuanze kupunguza mawazoHakika na sio kwenye Soka hata Serikalini tunayaona kila kukicha.
Leo mtu anakusapoti kesho anakukandia.
Mkitufunga atakuwa safeNi vile tu uongozi umeridhia lakini yule jamaa anahitaji umakinu wa hali ya juu.
Na usije shangaa siku akitibuliwa akaja elezea mchakato wote ulivyokuwa mpaka akatambulishwa hii siku ya leo.
Tozo zimepamba moto. Teh teh.Uko serikalini ndo sipataki kupasikia kabisa apa natamani ligi ianze tuanze kupunguza mawazo
Mpeni muda watani, anaweza akawasaidia kibiasharaHivi hili la Manara mnalionaje jamani? 🙁🙁🙁
Na hiyo ndo itakuwa salama yake.Mkitufunga atakuwa safe
Pia na ndo nilichokiona hasa waliposema kesho atakuwepo kwenye kutambulisha jezi ni dhahiri GSM wamemlenga kwenye bidhaa zao kama usemavyo.Ila Tukiwapiga ataonekana anasaliti.
Ila ni GSM wameamua
Wamelenga biashara ya bidhaa zao.
Tatizo lake ameshajiona kama msemaji tayari.Mpeni muda watani, anaweza akawasaidia kibiashara
[emoji23]Huyu jamaa ni kituko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1906682
Huwezi kujua alikuwa amekubaliana nini na viongozi wa Yanga kabla hajaja hapo kwenye pressTatizo lake ameshajiona kama msemaji tayari.
Huyu jamaa soon atazua,kwa tabia zake sijui viongozi wamewaza niniTatizo lake ameshajiona kama msemaji tayari.
Most stupid people everHuyu jamaa ni kituko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1906682
Kwani si nilisikia Yanga ni masikini na hawana hela [emoji1787][emoji23]
Dau nono
Wacha apige pesa hamna namna.
GSM anamwaga pesa.
Hapo yupo huru mkataba hauta mbana kama wa simba.
Anapiga kwa Azam na hapo.
Mkuu hyo
Me nimependa hii mkuuNzuri ile third kit lazima niipate
Me nimependa hii mkuu