Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ni vile tu uongozi umeridhia lakini yule jamaa anahitaji umakinu wa hali ya juu.

Na usije shangaa siku akitibuliwa akaja elezea mchakato wote ulivyokuwa mpaka akatambulishwa hii siku ya leo.
Mkitufunga atakuwa safe

Ila Tukiwapiga ataonekana anasaliti.

Ila ni GSM wameamua
Wamelenga biashara ya bidhaa zao.
 
Huyu jamaa ni kituko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210824-201555.jpg
 
Back
Top Bottom