Tuletee matukio mkuuNaam!
Sisi tuna waaatu. (Mzee Mpili Voice)Daaa Mzee mpili kaamsha kinomanoma!![emoji3]
Yaani katuletea neno mujjarabu.Tumjengee sanamu[emoji3] kwa Mara ya kwanza tumetoa shabiki/mwanachama alotoa kauli mbiu kuelekea mafanikio ya klabu yetu " sisi tuna watu"View attachment 1914826