Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20210829_165317.jpg
 
Mwambieni mchukua picha anatukera sisi wananchi tulio kwenye TV haoneshi matukio muhimu yeye anaonesha mashabiki tu,kwa mfano kofii amemchukua nusunusu wanenguaje wake ndo hawajaonekana kabisa,anatukeraa abadalike haraka
[emoji23][emoji23][emoji23] Sina access yoyote bro na azam tv
 
Mwambieni mchukua picha anatukera sisi wananchi tulio kwenye TV haoneshi matukio muhimu yeye anaonesha mashabiki tu,kwa mfano kofii amemchukua nusunusu wanenguaje wake ndo hawajaonekana kabisa,anatukeraa abadalike haraka
Kuna uwezekano huyo mchukua picha ni shabiki wa Mwamedi FC!! Haiwezekani apuyange kiasi kile!! Bora hata saa hizi walau anajitahidi kubalance matukio!

All in all, Tamasha limefana mbaya!! Wananchi wamejitokeza kwa wingi mpaka inaogopesha!!
 
Back
Top Bottom