Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kile kikosi cha kwanza ndio kilikua chenyewe
Sema match hii kocha alitaka kila mtu acheze.
Zanaco wmetuonyesha pa kuziba.
Utakuta jamaa wa makolo FC wataomba match na tusker ya kenya 😁😁
😅😅 Cha ajabu Makolo Fc wamesahau hii ilikuwa ni mechi ya kukipima kikosi 😅😅😅

Wampe kombe Zanaco basi. Teh teh.
 
HAYA NDO MATOKEO YETU MECHI YA JANA SIKU YA MWANANCHI.

20210830_054253.jpg
 
Kwa upande wangu Timu ya Wananchi haijacheza vibaya na hiki kilichotokea ni kipimo kwetu hasa, baada ya Timu kukosa mechi kipindi cha Pre Season hivyo kadiri siku zinavyosonga ni dhahiri tutakuwa tishio.

Nyie mnaoleta blah blah kupitia hii mechi mnajifariji na hilo tunalijua.

#Sisitunawatu.
 
😅😅 Cha ajabu Makolo Fc wamesahau hii ilikuwa ni mechi ya kukipima kikosi 😅😅😅

Wampe kombe Zanaco basi. Teh teh.
Utopolo mmeingiza kwaya uwanjani, baadaye mkacheza ndombolo badala ya kabumbu...

Wanaume wenye mpira wetu tumerejea, kaeni pembeni tuwaoneshe burudani...

Msukule umewatia nuksi...🤣🤣🤣
 
Kwa upande wangu Timu ya Wananchi haijacheza vibaya na hiki kilichotokea ni kipimo kwetu hasa, baada ya Timu kukosa mechi kipindi cha Pre Season hivyo kadiri siku zinavyosonga ni dhahiri tutakuwa tishio.

Nyie mnaoleta blah blah kupitia hii mechi mnajifariji na hilo tunalijua.

#Sisitunawatu.
Performance ya kilele cha mwananch mwaka jana hamkuirudia hadi ligi inaisha

Imagine mmeanza na performance hii alafu mshindwe irudia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom