Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
I can't imagine hiyo kitu aisee. 😅Performance ya kilele cha mwananch mwaka jana hamkuirudia hadi ligi inaisha
Imagine mmeanza na performance hii alafu mshindwe irudia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naamini kikosi hiki ndani ya VPL kitakuwa bora zaidi ya cha jana.