Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaga SumuHuyu ni nan
😀😀Kwa hili nyomi lazima tusionane Swahiba.Naam swahiba,swahiba sikuoni hapa taifa!
Duh.. Utopolo mmemsajili Yesu! !!KIKOSI CHETU KILICHOANZA DHIDI YA ZANACO MECHI YA SIKU YA MWANANCHI
View attachment 1915104
Sisi tuna watuDuh.. Utopolo mmemsajili Yesu! !!
Timu ni nzuri, mwaka huu mambo ni moto sana, tuko pamoja.Tumefungwa ila nimeridhika na timu, imecheza vizuri sana mpk pale walipotoka mafundi ndio kdg moto ukapungua.
Mm sijaona ila nimepata maoni timu imecheza vzur kabisaTumefungwa ila nimeridhika na timu, imecheza vizuri sana mpk pale walipotoka mafundi ndio kdg moto ukapungua.
Njoo utupande basi kama vibondeNyie vibonde wa kapumbu
Kikosi cha kwanza kiliongoza 1-0 mpk mapumziko, kikosi cha pili kikashindwa kulinda ushindi, ila tumecheza vizuri sana, natumai Yanga mpya imeonekana leo.Mm sijaona ila nimepata maoni timu imecheza vzur kabisa
[emoji23][emoji23] tumeiona mkuuKikosi cha kwanza kiliongoza 1-0 mpk mapumziko, kikosi cha pili kikashindwa kulinda ushindi, ila tumecheza vizuri sana, natumai Yanga mpya imeonekana leo.
Kulikuwa na tofauti kubwa sana katika mechi ya leo. Yanga ilikuwa ina wachezaji wazuri tu lakini haikuwa ni timu nzuri lakini Zanaco walikuwa ni timu nzuri iliyokamilika. Yanga ili ije kuwa timu nzuri basi inabidi kuwa wavumilivu kwa zaidi ya miezi miwili. Zanaco wamekuwa pamoja kwa muda mrefu na pia wameshacheza mechi zaidi ya tano za kirafiki wakati Yanga ndio mechi yao ya kwanza leo.Tumefungwa ila nimeridhika na timu, imecheza vizuri sana mpk pale walipotoka mafundi ndio kdg moto ukapungua.