Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

KIKOSI CHETU KILICHOANZA DHIDI YA ZANACO MECHI YA SIKU YA MWANANCHI
20210829_191004.jpg
 
Tumefungwa ila nimeridhika na timu, imecheza vizuri sana mpk pale walipotoka mafundi ndio kdg moto ukapungua.
Kulikuwa na tofauti kubwa sana katika mechi ya leo. Yanga ilikuwa ina wachezaji wazuri tu lakini haikuwa ni timu nzuri lakini Zanaco walikuwa ni timu nzuri iliyokamilika. Yanga ili ije kuwa timu nzuri basi inabidi kuwa wavumilivu kwa zaidi ya miezi miwili. Zanaco wamekuwa pamoja kwa muda mrefu na pia wameshacheza mechi zaidi ya tano za kirafiki wakati Yanga ndio mechi yao ya kwanza leo.
 
Back
Top Bottom