Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Performance ya kilele cha mwananch mwaka jana hamkuirudia hadi ligi inaisha

Imagine mmeanza na performance hii alafu mshindwe irudia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I can't imagine hiyo kitu aisee. 😅

Naamini kikosi hiki ndani ya VPL kitakuwa bora zaidi ya cha jana.
 
Goli la Makambo Yanga wameshangilia sana tu ushindi ni furaha na kufungwa ni huzuni.
ukifungwa unafunika huzuni kwa maneno kama,"ilikua ni mechi ya kirafiki tu",au kwani hii mechi tunagombania nini"
"HUWEZI KUUFICHA UKWELI"
 
Kulikuwa na tofauti kubwa sana katika mechi ya leo. Yanga ilikuwa ina wachezaji wazuri tu lakini haikuwa ni timu nzuri lakini Zanaco walikuwa ni timu nzuri iliyokamilika. Yanga ili ije kuwa timu nzuri basi inabidi kuwa wavumilivu kwa zaidi ya miezi miwili. Zanaco wamekuwa pamoja kwa muda mrefu na pia wameshacheza mechi zaidi ya tano za kirafiki wakati Yanga ndio mechi yao ya kwanza leo.
Hakika,tuache presha tumpe kocha mda
 
[emoji28][emoji28] Cha ajabu Makolo Fc wamesahau hii ilikuwa ni mechi ya kukipima kikosi [emoji28][emoji28][emoji28]

Wampe kombe Zanaco basi. Teh teh.
Halafu mkuu kocha alishasema kuwa apewa muda team wachezaji wazoeane,tumecheza vzur bahati haikuwa yetu
Makolo wana kelele utadhan wao ndio wamefungs
 
Kulikuwa na tofauti kubwa sana katika mechi ya leo. Yanga ilikuwa ina wachezaji wazuri tu lakini haikuwa ni timu nzuri lakini Zanaco walikuwa ni timu nzuri iliyokamilika. Yanga ili ije kuwa timu nzuri basi inabidi kuwa wavumilivu kwa zaidi ya miezi miwili. Zanaco wamekuwa pamoja kwa muda mrefu na pia wameshacheza mechi zaidi ya tano za kirafiki wakati Yanga ndio mechi yao ya kwanza leo.
Sahihi
 
Kwa upande wangu Timu ya Wananchi haijacheza vibaya na hiki kilichotokea ni kipimo kwetu hasa, baada ya Timu kukosa mechi kipindi cha Pre Season hivyo kadiri siku zinavyosonga ni dhahiri tutakuwa tishio.

Nyie mnaoleta blah blah kupitia hii mechi mnajifariji na hilo tunalijua.

#Sisitunawatu.
Tunapaswa kucheza mechi nyingi za Kirafiki tena ngumu ngumu,tutaimarika sana,manake kilichotusumbua si wachezaji wabovu bali hakukuwa na uelewano mzuri kama timu
 
Halafu mkuu kocha alishasema kuwa apewa muda team wachezaji wazoeane,tumecheza vzur bahati haikuwa yetu
Makolo wana kelele utadhan wao ndio wamefungs
Hakika na haswa ukiangalia hii Pre Season hatukupata mechi kabisa.

Hao Makolo Fc tuwaambie tu kwamba yajayo yanafurahisha.
 
Tunapaswa kucheza mechi nyingi za Kirafiki tena ngumu ngumu,tutaimarika sana,manake kilichotusumbua si wachezaji wabovu bali hakukuwa na uelewano mzuri kama timu
Kweli japo napata hofu sana ya kupata hizo mechi nyingi ukizingatia Champions Lague imeshabisha hodi.

Mana mwezi Septemba ni kesho kutwa.
 
Huyu mtu asipopata majeraha akawa na moto uleule na zaidi kweli makolo watapitia magumu sana msimu huu
Jana nilikua namuona vile anapandisha mashambulizi japo kuna muda nilipata hofu alipoumia akaenda kugangwa nje nilidhania na yeye ni spana mkononi.

Sema haikuwa hivyo mana alirudi uwanjani.
 
Back
Top Bottom