stable-negro
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 509
- 347
Tofauti imeonekana mpira unataka uwekezaji kiuk jana yanga wamenifurahisha kwa upinzani walioutoa yanga I mara damage mbele nyuma mwiko.Jamani siyo mbaya sana mambo afanyayo Plujin mtaalam.
NO! Yanga bingwa!
Acha unafiki unajua mbeleko wewe?Yanga imesawazisha kwa goli la kuotea. Mbeleko mbaya sana. Kwa mpango huu soka letu halitasonga mbele. Kiongozi wa soka hafai
Kashapewa zake 2Leo tunamlamba Migambo...