Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Na baddo Mtani. 🤣🤣

Baada ya Vunja bei kuwaffuruga yaani mnatafuta ahueni kila kona. Lol
Jezi zetu Simba ni nzuri, hata ninyi mkiwa pembeni mnazungumza hivyo (kama ambavyo Manara alivyoenda kuchekea chooni baada ya Kapumbu kufunga goli). Jambo la msingi ni kutengeneza vikosi,. Simba tunapasha kikosi, ninyi tafuteni muunganiko, ni miaka minne sasa mnautafuta! 😂
 
Jezi zetu Simba ni nzuri, hata ninyi mkiwa pembeni mnazungumza hivyo (kama ambavyo Manara alivyoenda kuchekea chooni baada ya Kapumbu kufunga goli). Jambo la msingi ni kutengeneza vikosi,. Simba tunapasha kikosi, ninyi tafuteni muunganiko, ni miaka minne sasa mnautafuta! [emoji23]
Nadhani tusubiri ligi ianze, Simba kikosi bila Miquison na Chama Kuna utofauti mkubwa, hata ligi kuu bila hao watu mlikuwa mnakwama. Pia Simba inawachezaji wageni wengi kuliko misimu mitatu ilipita, unasemaje mnapasha kikosi na hakuna mechi ya maana mmefanya?
 
Kwa kweli tukaage tu mana vipo vingi vya kufurahisha na hata kuuzunisha.
Screenshot_20210903_213720_com.instagram.android.jpg
 
Jamani tuacheni kuwacheka Simba Kwa jezi tuanze kuwacheka Kwa kuchukua ubingwa Kila siku hawachoki?[emoji23][emoji23]kombe lenyewe bayaaa
sasa kama mbaya tusiseme 😀 😀

ubingwa gani ? wakati ubingwa wa msimu huu tumesha chukua
 
Nadhani siku mbili hizi watakuwa washaanza matangazo.

Mana game yenyewe ni jumapili.
Sawa ngoja tuone maana leo timu ya taifa inacheza pasipo washsbiki hali inayonipa mashaka kuwepo kwa mashabiki kwenye mechi ya jumapili
 
Back
Top Bottom