Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndo maana ya Yanga kuitwa misukule f.cInakuhusu nn? Simba mnawashwa sana na Yanga
Waliingizwa chaka,mnyama ali vunga kama anamtaka S.Djuma kwa dau kubwa Yanga wakapandilia cha juu,wakapigwa pesa ndefu ambayo hawawezi kulipa.imekuaje tena huko
kwani shabani si mchezaj wa yanga?
pesa gani tena?
[emoji28][emoji28][emoji28]Hakika wawalete.
Tuwaduwaze wale wanaotuhesabia siku.
Alhamisi leo na hakuna taarifa yoyote kuhusu tiketiNadhani siku mbili hizi watakuwa washaanza matangazo.
Mana game yenyewe ni jumapili.
SaaanaUtoto raha sana
Hawawezi kwenda kuwapokea hao mana ni wageni wauwaji, hata Shadeeya anajua.Wagen mmeshaenda kuwapokea
[emoji1][emoji1][emoji1]Hawawezi kwenda kuwapokea hao mana ni wageni wauwaji, hata Shadeeya anajua.
🤝Manara amesema watatoa utaratiby wote Kesho, make watakuwa na press conference mtani...
Hutaki? 🤣[emoji28][emoji28][emoji28]