Jezi zetu Simba ni nzuri, hata ninyi mkiwa pembeni mnazungumza hivyo (kama ambavyo Manara alivyoenda kuchekea chooni baada ya Kapumbu kufunga goli). Jambo la msingi ni kutengeneza vikosi,. Simba tunapasha kikosi, ninyi tafuteni muunganiko, ni miaka minne sasa mnautafuta! πNa baddo Mtani. π€£π€£
Baada ya Vunja bei kuwaffuruga yaani mnatafuta ahueni kila kona. Lol
Nadhani tusubiri ligi ianze, Simba kikosi bila Miquison na Chama Kuna utofauti mkubwa, hata ligi kuu bila hao watu mlikuwa mnakwama. Pia Simba inawachezaji wageni wengi kuliko misimu mitatu ilipita, unasemaje mnapasha kikosi na hakuna mechi ya maana mmefanya?Jezi zetu Simba ni nzuri, hata ninyi mkiwa pembeni mnazungumza hivyo (kama ambavyo Manara alivyoenda kuchekea chooni baada ya Kapumbu kufunga goli). Jambo la msingi ni kutengeneza vikosi,. Simba tunapasha kikosi, ninyi tafuteni muunganiko, ni miaka minne sasa mnautafuta! [emoji23]
Kwa kweli tukaage tu mana vipo vingi vya kufurahisha na hata kuuzunisha.
sasa kama mbaya tusiseme π πJamani tuacheni kuwacheka Simba Kwa jezi tuanze kuwacheka Kwa kuchukua ubingwa Kila siku hawachoki?[emoji23][emoji23]kombe lenyewe bayaaa
[emoji23][emoji23]Aaah Mpira Ni jezi bwana mambo ya uwanjani Na maubingwa tuwaachie waosasa kama mbaya tusiseme π π
ubingwa gani ? wakati ubingwa wa msimu huu tumesha chukua
Bring them on!#[emoji617]nation![emoji91][emoji91]
Hakika wawalete.Bring them on!#[emoji617]nation![emoji91][emoji91]
Hivi hii mechi inachezwa pasipo na washabiki? Maana sisikii hata habari za tiketi zitauzwa wapi na wapi na ni za bei gani.Hakika wawalete.
Tuwaduwaze wale wanaotuhesabia siku.
Nadhani siku mbili hizi watakuwa washaanza matangazo.Hivi hii mechi inachezwa pasipo na washabiki? Maana sisikii hata habari za tiketi zitauzwa wapi na wapi na ni za bei gani.
Sawa ngoja tuone maana leo timu ya taifa inacheza pasipo washsbiki hali inayonipa mashaka kuwepo kwa mashabiki kwenye mechi ya jumapiliNadhani siku mbili hizi watakuwa washaanza matangazo.
Mana game yenyewe ni jumapili.
Manara amesema watatoa utaratiby wote Kesho, make watakuwa na press conference mtani...Nadhani siku mbili hizi watakuwa washaanza matangazo.
Mana game yenyewe ni jumapili.
Inakuhusu nn? Simba mnawashwa sana na Yangagsm asipolipa pesa ya Shaban Djuma kwa As Vita hatocheza game za kimataifa,gsm aache ujanja ujanja.