Hii picha inapendeza sana!
Duuh!! Sasa wale ambao walishanunua tiketi imekaaje kwao? 🤔Wametosa bwana! Hawa CAF nao wanaenda na upepo tuView attachment 1933149View attachment 1933150
Na hii yote ni baada ya zile mechi za Kuqualify World Cup kutokuwa na mashabiki basi CAF nao wameona iwe mwendelezo.Wametosa bwana! Hawa CAF nao wanaenda na upepo tuView attachment 1933149View attachment 1933150
AMENTunaiombea Yanga ushindi kesho.
Labda kuna utaratibu watutumi Wa kuwalipa. Idara yetu ya habari haiko vizuri halafu ni tatizo la muda mrefu sijui kwa nini hawajirekebishiDuuh!! Sasa wale ambao walishanunua tiketi imekaaje kwao? [emoji848]
Naam hilo ndilo la msingi,naamini washajiandaa kucheza ktk hiyo haliNa hii yote ni baada ya zile mechi za Kuqualify World Cup kutokuwa na mashabiki basi CAF nao wameona iwe mwendelezo.
Ila sio mbaya kikubwa wachezaji wapambane kupata matokeo ili mwisho wa siku tusonge mbele.
Apumzike kwa Amani Mzee Hanspope. Pole sana kwa wana Simba na wadau Wa mpira kwa ujumla!