Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wakuu, Mwamnyeto sioni akitufikisha mahala.
Naona bora Tumrudishe Vicent chikupe "Dante" pamoja na Yondani ukuta wao mwarabu hachomoki.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
NASIKIA NAFASI ILIYOACHWA WAZI KWENYE JEZI YA SIMBA ENEO LA TUMBONI NI KWA AJILI YA KUBANDIKA YALE MAKATUNI YALIYOZINDULIWA JANA! [emoji2297]
 
Bacca, Willson, Ibrahim Ame, na Joash Onyago wanatosha.

Nyinyi kwenye kikosi chenu hamna depth kama hiyo
Jaribu kuwapanga kwenye mechi ya Ngao ya jamii kama ambavyo Yanga wamewaamini madogo wake na kuwapanga Kibwana,Dickson,Mwamnyeto na Adeyuni.Ukiona hawapangwi Kuna tafsiri nyingi hapo kwa kifupi Hawaaminiki bora wazee
 
𝐌𝐓𝐀𝐍𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐓𝐔𝐀𝐍𝐆𝐔𝐒𝐇𝐀 𝐒𝐀𝐍𝐀

Simba: Andaeni Timu

Yanga: Mtakoma Chama kaondoka

Simba: Andaeni Timu

Yanga: Trh 28 kutakuwa na Suprise

Simba: Andaeni Timu

Yanga: Suprise ni Luis Miquissone.

Simba: Andaeni Timu msije kutulaumu

Yanga: Tumemchukua Msukule.

Simba: Msukule hatacheza andaeni Timu

Yanga: Subiri siku ya Wananchi mtaona.

Simba: Vipi mtani Kapumbu kafanyaje?

Yanga: Tulikuwa tunatest mitambo subiri siku Rivers United ya Nigeria, huwezi umiza wachezaji kwa bonanza.

Simba: Andaeni timu Rivers sio timu ya kitoto!

Yanga: Kocha wenu hana vyeti.

Simba: Jamaa jiandaeni huyu kocha ndio kawatafutia ninyi nafasi hiyo mnayocheza.

Yanga: Tunatoa kozi za Fifa Class A. Tunaye Profesa.

Simba: Mtani umerekebisha makosa ya mechi ya kwanza?!?!

Yanga: sisi tumekodisha Ndege ndio timu ya kwanza

Simba: Mtani, Rivers hao watakufunga tena jamaa washaweka ahadi ya goli 4

Yanga: Hatuongei sasa hivi majibu tarehe 19.

Simba: Haya ngoja tuonee...

Yanga : kwanini aitwa mo rafiki sio simba rafiki?

Simba: mtani hii mambo haitakusaidia focus na timu yako haya[emoji23][emoji23]
 
Ndio maana wanaitwa utopolo. Wali ignore pre season sababu ya tamasha.
 
Jaribu kuwapanga kwenye mechi ya Ngao ya jamii kama ambavyo Yanga wamewaamini madogo wake na kuwapanga Kibwana,Dickson,Mwamnyeto na Adeyuni.Ukiona hawapangwi Kuna tafsiri nyingi hapo kwa kifupi Hawaaminiki bora wazee
Hao ni madogo wa Yanga au ndiyo first XI ya Yanga ?
 
Jaribu kuwapanga kwenye mechi ya Ngao ya jamii kama ambavyo Yanga wamewaamini madogo wake na kuwapanga Kibwana,Dickson,Mwamnyeto na Adeyuni.Ukiona hawapangwi Kuna tafsiri nyingi hapo kwa kifupi Hawaaminiki bora wazee
Tulishawahi kuwapiga 4-1 backline yetu ikiwa na Kennedy Wilson na Wawa.

Tukawapiga 1 bila backline yetu ikiwa na Nyoni, Juuko na Kotei.
 
Jaribu kuwapanga kwenye mechi ya Ngao ya jamii kama ambavyo Yanga wamewaamini madogo wake na kuwapanga Kibwana,Dickson,Mwamnyeto na Adeyuni.Ukiona hawapangwi Kuna tafsiri nyingi hapo kwa kifupi Hawaaminiki bora wazee
Joash Onyango hapangwi ??
 
Back
Top Bottom