Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

NASIKIA NAFASI ILIYOACHWA WAZI KWENYE JEZI YA SIMBA ENEO LA TUMBONI NI KWA AJILI YA KUBANDIKA YALE MAKATUNI YALIYOZINDULIWA JANA! [emoji2297]
Jezi ya Simba kiboko, huku Mo sport, huku Mo Vunjabei, kule Mo energy, huku Caf celebrate, kule Caf africa huku Visit Tanzania, ndio maana wanawaita Makolokocho aisee haaahah!
 
Sub Nchimbi[emoji28][emoji28][emoji28]
Ujue bana nadhani Kocha hajamjua vizuri huyu jamaa ana mechi na mechi tena hasa zile za ndani za kukamiana hapo ndo anaeza minyana weee walau akafanya kitu.

Ila hizi zingine. 🤔
 
Ninaamini uwezo tunao kikubwa nia iwepo na kila mchezaji kujituma na kujitoa kuipambania timu.

Kila la kheri Timu ya Wananchi katika Mechi ya marudiano dhidi ya Rivers United hapo baadae jioni.
Young_Africans_SC_(logo).png

#Sisitunawatu.
 
Uto mna taarifa?

Mchezaji wa Rivers aliyewafunga kwa Mkapa anaitwa Okwa,Simba wanamtamburisha leo hii kaka yake anaitwa Okwi.
Tabu bado mnayo kwenye ngao ya jamii.
 
Uto mna taarifa?

Mchezaji wa Rivers aliyewafunga kwa Mkapa anaitwa Okwa,Simba wanamtamburisha leo hii kaka yake anaitwa Okwi.
Tabu bado mnayo kwenye ngao ya jamii.
Okwi anakuja kwenye benchi la ufundi au kama mchezaji?
 
Back
Top Bottom