NASIKIA NAFASI ILIYOACHWA WAZI KWENYE JEZI YA SIMBA ENEO LA TUMBONI NI KWA AJILI YA KUBANDIKA YALE MAKATUNI YALIYOZINDULIWA JANA! [emoji2297]Wakuu, Mwamnyeto sioni akitufikisha mahala.
Naona bora Tumrudishe Vicent chikupe "Dante" pamoja na Yondani ukuta wao mwarabu hachomoki.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Bacca, Willson, Ibrahim Ame, na Joash Onyago wanatosha.Kwa jinsi wawa nΓ erΓ sto wΓ livyosogea umri ni vema Tairon dos Santos na Juma Nyoso wakarudishwa pale Simba
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Uto mnataarifa,Air Tanzania imekosea kutua huko,badala ya kutua Nigeria ikatua Guinei kwa kanali Mamady Boumbouya.huu ni uchawi uliozidi mipaka kwa hawa Rivers,Utopolo zidisheni dua.
Wewe utakuwa ni Nyoka mwenye makengezaa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakuu huyu Kipa Sina imani nae, naona bora tumrudishe tu YAW BERKO asaidiane na Shaaban Kado
Sub Nchimbi[emoji28][emoji28][emoji28]Kumbe.
kwenye pcha zako za yanga huyu jamaa usiwe unampost
Hapana mkuu, huwa ananifurahisha sana nimeona bora nifuate nyayo zake.Wewe utakuwa ni Nyoka mwenye makengezaa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
huyu jamaa sijui anasubiri nini katika hii timuSub Nchimbi[emoji28][emoji28][emoji28]
Jaribu kuwapanga kwenye mechi ya Ngao ya jamii kama ambavyo Yanga wamewaamini madogo wake na kuwapanga Kibwana,Dickson,Mwamnyeto na Adeyuni.Ukiona hawapangwi Kuna tafsiri nyingi hapo kwa kifupi Hawaaminiki bora wazeeBacca, Willson, Ibrahim Ame, na Joash Onyago wanatosha.
Nyinyi kwenye kikosi chenu hamna depth kama hiyo
Nchimbi na Adeyuni wachezaji pekee wa hovyo waliobaki Yanga.Sidhani kama wataendelea kuwepo Yanga kwenye usajiri wa dirisha dogo wataonyeshwa mlango wa kutokea.Hovyo hovyo kabisaSub Nchimbi[emoji28][emoji28][emoji28]
πππππ ππππππππππππ ππππDooh!!
Ndio maana wanaitwa utopolo. Wali ignore pre season sababu ya tamasha.πππππ ππππππππππππ ππππ
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Mtakoma Chama kaondoka
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Trh 28 kutakuwa na Suprise
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Suprise ni Luis Miquissone.
Simba: Andaeni Timu msije kutulaumu
Yanga: Tumemchukua Msukule.
Simba: Msukule hatacheza andaeni Timu
Yanga: Subiri siku ya Wananchi mtaona.
Simba: Vipi mtani Kapumbu kafanyaje?
Yanga: Tulikuwa tunatest mitambo subiri siku Rivers United ya Nigeria, huwezi umiza wachezaji kwa bonanza.
Simba: Andaeni timu Rivers sio timu ya kitoto!
Yanga: Kocha wenu hana vyeti.
Simba: Jamaa jiandaeni huyu kocha ndio kawatafutia ninyi nafasi hiyo mnayocheza.
Yanga: Tunatoa kozi za Fifa Class A. Tunaye Profesa.
Simba: Mtani umerekebisha makosa ya mechi ya kwanza?!?!
Yanga: sisi tumekodisha Ndege ndio timu ya kwanza
Simba: Mtani, Rivers hao watakufunga tena jamaa washaweka ahadi ya goli 4
Yanga: Hatuongei sasa hivi majibu tarehe 19.
Simba: Haya ngoja tuonee...
Yanga : kwanini aitwa mo rafiki sio simba rafiki?
Simba: mtani hii mambo haitakusaidia focus na timu yako haya[emoji23][emoji23]
Hao ni madogo wa Yanga au ndiyo first XI ya Yanga ?Jaribu kuwapanga kwenye mechi ya Ngao ya jamii kama ambavyo Yanga wamewaamini madogo wake na kuwapanga Kibwana,Dickson,Mwamnyeto na Adeyuni.Ukiona hawapangwi Kuna tafsiri nyingi hapo kwa kifupi Hawaaminiki bora wazee
Tulishawahi kuwapiga 4-1 backline yetu ikiwa na Kennedy Wilson na Wawa.Jaribu kuwapanga kwenye mechi ya Ngao ya jamii kama ambavyo Yanga wamewaamini madogo wake na kuwapanga Kibwana,Dickson,Mwamnyeto na Adeyuni.Ukiona hawapangwi Kuna tafsiri nyingi hapo kwa kifupi Hawaaminiki bora wazee
Joash Onyango hapangwi ??Jaribu kuwapanga kwenye mechi ya Ngao ya jamii kama ambavyo Yanga wamewaamini madogo wake na kuwapanga Kibwana,Dickson,Mwamnyeto na Adeyuni.Ukiona hawapangwi Kuna tafsiri nyingi hapo kwa kifupi Hawaaminiki bora wazee
Hata Mimi nimemgundua![emoji23][emoji23]Wewe utakuwa ni Nyoka mwenye makengezaa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kajitetea anasema eti huwa anam admire mwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata Mimi nimemgundua![emoji23][emoji23]