Jezi ya Simba kiboko, huku Mo sport, huku Mo Vunjabei, kule Mo energy, huku Caf celebrate, kule Caf africa huku Visit Tanzania, ndio maana wanawaita Makolokocho aisee haaahah!NASIKIA NAFASI ILIYOACHWA WAZI KWENYE JEZI YA SIMBA ENEO LA TUMBONI NI KWA AJILI YA KUBANDIKA YALE MAKATUNI YALIYOZINDULIWA JANA! [emoji2297]
Bro naona Ntani kakurupuka. Teh teh.Uzuri hilo ni ombi tu toka serikalini na halinà malipo hivyo linawezà kuchomolewa tu
Ujue bana nadhani Kocha hajamjua vizuri huyu jamaa ana mechi na mechi tena hasa zile za ndani za kukamiana hapo ndo anaeza minyana weee walau akafanya kitu.Sub Nchimbi[emoji28][emoji28][emoji28]
Nimeota tumepiga mawili uc hofuMabega simawili mkuu au
Hawajui wakae upande gani Taifa au Nigeria[emoji16]Nyie Uto amjambo.
Mbona mmepooza sana mnaumwa au?
Okwi anakuja kwenye benchi la ufundi au kama mchezaji?Uto mna taarifa?
Mchezaji wa Rivers aliyewafunga kwa Mkapa anaitwa Okwa,Simba wanamtamburisha leo hii kaka yake anaitwa Okwi.
Tabu bado mnayo kwenye ngao ya jamii.
Mbona una wasiwasi Kijana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] TULIA TULIA TULIAAAA.Okwi anakuja kwenye benchi la ufundi au kama mchezaji?
Swali gani ili la kindezi!Okwi anakuja kwenye benchi la ufundi au kama mchezaji?
Hawajui wakae upande gani Taifa au Nigeria[emoji16]
Mbona una wasiwasi Kijana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] TULIA TULIA TULIAAAA.