TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Duh! Hii ni Simba kweli iliyofika robo fainali CAF msimu uliopita!
Na mimi nashangaa, hii ndio Yanga iliyotolewa raundi ya awali CAF msimu huu?Duh! Hii ni Simba kweli iliyofika robo fainali CAF msimu uliopita!
🤣🤣🤣😂 wapo wengi sana ayseeKalimangonga Ongalla mbona unamsahau.? Au makusudi
Corona imepungua kidogo lazima matokeo yawe magumuDuh! Hii ni Simba kweli iliyofika robo fainali CAF msimu uliopita!
Naona leo umetia neno kdg.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] wapo wengi sana aysee
Pira biriani viwango vya ulaya vipo Yanga, yn Yanga inaupiga mwingi kuliko MANJESTA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yana tupo vizuri sana.....
Simba wajipange msimu huu.
Aseee MAN U...isipotuua mwaka huu.....Pira biriani viwango vya ulaya vipo Yanga, yn Yanga inaupiga mwingi kuliko MANJESTA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wengine wakishindwa kutufungaWakuu, Kazi ya Minziro Geita Gold si inaonekana, mnaonaje tukamrudisha pale mtoto wa Nyumbani huyu kaze tangia aje tunashinda goli moja tu.....
Hiki ni kirusi chronic kwa hawa viongozi, wana kauzuzu fulan hiviTimu yetu naona inarudia kosa lilelile lililotutoa club bingwa....wachezaji hawapo fit hata 70%, nlitegemea timu ingekuwa kambin matokeo yake mpaka leo hamna kitu, viongozi hawapo serious kabisa yan.
Kutokuwa fit kwa wachezaji wetu ndiyo kimesababisha hata wale wakongo wasiitwe timu ya taifa.Timu yetu naona inarudia kosa lilelile lililotutoa club bingwa....wachezaji hawapo fit hata 70%, nlitegemea timu ingekuwa kambin matokeo yake mpaka leo hamna kitu, viongozi hawapo serious kabisa yan.
Mkuu ngoja ina wachezaji wengi sana Duniani,kuitwa na kupata namba Timu ya Taifa ya Congo DRC si mchezo Huwezi kufananisha hata Kidogo na Tanzania,Wachezaji wa Taifa la Congo DRC wapo katibu katika kila nchi Duniani.Hivyo unaweza usiitwe inategemea na uamuzi wa kocha anataka amtumia nani kwa mfumo gani.Kuitwa au kutokuitwa Timu ya Taifa haimaanishi wewe hujuhi soka kwa nchi yenye vipaji vingi vya soka Afrika kama Congo DRCKutokuwa fit kwa wachezaji wetu ndiyo kimesababisha hata wale wakongo wasiitwe timu ya taifa.
Mambo ya kambi kwa klabu ni mambo ya kale.Timu yetu naona inarudia kosa lilelile lililotutoa club bingwa....wachezaji hawapo fit hata 70%, nlitegemea timu ingekuwa kambin matokeo yake mpaka leo hamna kitu, viongozi hawapo serious kabisa yan.