Champions wa nini ?Hahahaa!! Hawa mikia tunaishi nao tu hivyo hivyo.
Hakika na this season ndo maana halisi ya "Return of Champions" inapochukua nafasi yake.
Haya mnayoongea leo mliongea msimu uliopita mnarudiaa tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] UTO mtasubiri sanaWananchi msimu huu tuna jambo letu yaani kwa moto ule sioni wa kutuzuia
Misimu iliopita tulikuwa tunaanza vizuri ila badae tunaharibu mie nadhan si kwamba tulikuwa na kikosi kibaya sana tulikuwa na timu nzuri isipokuwa simba walikuwa na timu nzuri zaidi yetu
Na msimu huu sio kwamba simba wana timu dhaifu simba bado ni wazuri isipokuwa yanga ni wazuri zaidi
mkuu hebu tuache kwanzaHaya mnayoongea leo mliongea msimu uliopita mnarudiaa tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] UTO mtasubiri sana
[emoji23][emoji23][emoji23].........@SHADEEYA unapata wapi ujasiti wa kusema RETURN OF CHAMPIONS........The return of Champions from where?????????[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa!! Hawa mikia tunaishi nao tu hivyo hivyo.
Hakika na this season ndo maana halisi ya "Return of Champions" inapochukua nafasi yake.
Saba kwa Mkapa , tisa Nigeria. Wangekula 16-0Simba wangekutana na Rivers wangepigwa hata 11 mbwa hawa![emoji16]
Unatukosea Sana heshima wanayanga kusema Tk Master amemzidi uwezo Moloko. Labda kama ulikua huangalii mechi za Yanga mwakajana. Moloko is far much better than Kisinda. Kisinda alikua anajua kukimbia tu na maranyingi mikimbio yake ilikua haina faida. Namaanisha anakimbia mwisho wa siku anakabwa ama anapiga krosi mnazi. Tofauti na Moloko. Fwatilia , hapotezi mpira kizembe, ana speed na mipira ya mwisho haipotei inapelekwa kwa watu husika.... Uliona game na KMC juzi yale mapande aliyokua anamwagiwa Moloko yote anatuliza, anatoa pasi za maana, anafanya mikimbio ya maana. Hapotezi mipira kiboya boya. Kisinda kila mpira akipata alikua anawaza kukimbia tundo mambo mkuu usajili ni kama kamari hata ulaya yapo hayo kuna kupata na kupatwa[emoji1787][emoji1787]
ila niliumia sana tkmaster kuondoka huyu moloko anajitahidi ila naona bado hajafikia uwezo wa tkmaster
Kuna kitu kizito kimewaangukia MakoloMJI UMEPOA GHAFLA JIONI YA LEO KWANI KUNA HABARI GANI NDUGU ZANGU????
Shirikisho ndo wap huko?Simba anakwenda shirikisho, utopolo wanaenda wapi?
Ukipenda waite Mwijaku FC [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna kitu kizito kimewaangukia Makolo
jina ambalo liko certified kwa sasa ni mabataUkipenda waite Mwijaku FC [emoji16][emoji16][emoji16]
hii mpya mkuu
mabata ushungi linapendeza zaidihii mpya mkuu
mabata ushungi ama vip??[emoji38][emoji38]
kwa hyo kwa akili yako unadhani Simba wametolewa moja kwa moja Kama utopolo?.Shirikisho ndo wap huko?
sijaelewa lakini kwa nini wanaitwa mabata??
mnaenda kushiriki kombe la kina namungo na biashara???kwa hyo kwa akili yako unadhani Simba wametolewa moja kwa moja Kama utopolo?.
Simba anakwenda kucheza kombe la shirikisho barani Africa