mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Na nyie mnaenda wapi?mnaenda kushiriki kombe la kina namungo na biashara???
hongeren asante kwa taarifa
Tunaenda kuchukua kombe la ligi kuuNa nyie mnaenda wapi?
shabiki wao baada ya mechi kasema wao sio simba tena wameng'olewa meno wamekuwa mabatasijaelewa lakini kwa nini wanaitwa mabata??
😅😅😅😅😅shabiki wao baada ya mechi kasema wao sio simba tena wameng'olewa meno wamekuwa mabata
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Kweli Mjinga wewe kama jina lako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko ndio mnaenda kuangushiwa kitu kizito zaidi na Mazembe ama Pyramids.kwa hyo kwa akili yako unadhani Simba wametolewa moja kwa moja Kama utopolo?.
Simba anakwenda kucheza kombe la shirikisho barani Africa
acha wakukatane na fundi wao chama yupo huko Rs BerkaneKweli Mjinga wewe kama jina lako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko ndio mnaenda kuangushiwa kitu kizito zaidi na Mazembe ama Pyramids.
Hongereni saaaanaaaaa,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],kwa Mkapa atoki mtu,na mtapigwa vipigo haswa mpaka mnyoooke.kwa hyo kwa akili yako unadhani Simba wametolewa moja kwa moja Kama utopolo?.
Simba anakwenda kucheza kombe la shirikisho barani Africa
Sawaa utopolo mpo wapi?.Kweli Mjinga wewe kama jina lako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko ndio mnaenda kuangushiwa kitu kizito zaidi na Mazembe ama Pyramids.
Bado tunapanda ndege.Hongereni saaaanaaaaa,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],kwa Mkapa atoki mtu,na mtapigwa vipigo haswa mpaka mnyoooke.
Hiyo sheria ya kuingia makundi shirikisho moja kwa moja umeitoa wapi? Timu zote zilizotolewa champions league hatua hii zinacheza play off kwa kuchezesha droo. Kisha itapigwa mechi ya nyumba na ugrnini. Atakayepita ndio ataenda kwenye hatua ya makundiSawaa utopolo mpo wapi?.
Kitu usichokijua Simba anaingia makundi ya shirikisho moja kwa moja
Mkuu kweli wekundu wa msimbaz leo hii mnalilia shirikisho na kujigamba koote kule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],jana nmefurahi sana..Leo naenda Ofisini kibabeBado tunapanda ndege.
Rivers United.nje ndani.
Mbona shirikisho kuna timu kubwa tu zipo.ni sawa na Europa ligi.Mkuu kweli wekundu wa msimbaz leo hii mnalilia shirikisho na kujigamba koote kule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],jana nmefurahi sana..Leo naenda Ofisini kibabe
Nina uhakika kuwa tutapita NI sawa na kwenda makundi moja kwa mojaHiyo sheria ya kuingia makundi shirikisho moja kwa moja umeitoa wapi? Timu zote zilizotolewa champions league hatua hii zinacheza play off kwa kuchezesha droo. Kisha itapigwa mechi ya nyumba na ugrnini. Atakayepita ndio ataenda kwenye hatua ya makundi
Ngoja upangwe na RS BerkaneNina uhakika kuwa tutapita NI sawa na kwenda makundi moja kwa moja
kwa hiyo mkuu hata mkikutana na rs berkane mna uhakika subutuuuuuNina uhakika kuwa tutapita NI sawa na kwenda makundi moja kwa moja
Chama alikuwa yule wa Simba tu.kwa hiyo mkuu hata mkikutana na rs berkane mna uhakika subutuuuuu
chama anaijua beki ya simba kama anavyokijua kipochi manyoya cha mkewe jiandaeni msichukulie poa
simba ndo imekuwa zilipendwa bila chamaChama alikuwa yule wa Simba tu.
Makundi ya Nyoko?? Kumbe ndio huna akili kiasi hiki???Sawaa utopolo mpo wapi?.
Kitu usichokijua Simba anaingia makundi ya shirikisho moja kwa moja
Achana naye popoma huyo hakuna analoelewa. Akili za ki-mwijaku mwijaku tuHiyo sheria ya kuingia makundi shirikisho moja kwa moja umeitoa wapi? Timu zote zilizotolewa champions league hatua hii zinacheza play off kwa kuchezesha droo. Kisha itapigwa mechi ya nyumba na ugrnini. Atakayepita ndio ataenda kwenye hatua ya makundi