Endelee kujipa moyo kama kwa chamaKiungo wa Yanga Khalid Aucho amesema hana tatizo na Yanga na pia anafurahia
"Sina tatizo na klabu ya Yanga, Siendi popote kwa sasa sababu nina mkataba na Yanga SC Pia nina furaha ndani ya Yanga na ninaipenda Yanga" Khalid Aucho
Endelee kujipa moyo kama kwa chama
Hebu tuambie vipi kuhusu Carrick, tumpe muda au tuendelee na slogan ya BADO HAJAFUKUZWA TUU [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunasubiri wachambuzi[emoji16]Kwa hiyo alikuwa analiwa
Aende tu maana juzi kabahatisha kwa villarealHebu tuambie vipi kuhusu Carrick, tumpe muda au tuendelee na slogan ya BADO HAJAFUKUZWA TUU [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi kuhusu Ralf Rangnick naye aende au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aende tu maana juzi kabahatisha kwa villareal
Lile benchi lote vilaza tu
Miezi sita tu anavumilika vizuri tu...Vipi kuhusu Ralf Rangnick naye aende au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee!! Nimejua kuadimika aiseee ππMic u shadeeya
Mm nikaanza kufikiri huenda muisrael kashafanya yake (jokes)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee!! Nimejua kuadimika aiseee [emoji3][emoji3]
Kwema humu?
Aisee!! Nimejua kuadimika aiseee ππ
Kwema humu?
Usije kujitabiria maisha maan utaish kwa imani tu.YANGA VS MBEYA KWANZA
Natabiri: tunashinda goli 2+
Huna akiliUsije kujitabiria maisha maan utaish kwa imani tu.
Inaonekan kweny utabiri we bado mchanga.
Wananchi oyeee. Kuna kitu litapasuka J1.Wananchi
Wananchi oyeee. Kuna kitu litapasuka J1.