Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kiungo wa Yanga Khalid Aucho amesema hana tatizo na Yanga na pia anafurahia
"Sina tatizo na klabu ya Yanga, Siendi popote kwa sasa sababu nina mkataba na Yanga SC Pia nina furaha ndani ya Yanga na ninaipenda Yanga" Khalid Aucho
Endelee kujipa moyo kama kwa chama
 
Mwaka wenu huu

IMG-20211125-WA0007.jpg
 
Hebu tuambie vipi kuhusu Carrick, tumpe muda au tuendelee na slogan ya BADO HAJAFUKUZWA TUU [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aende tu maana juzi kabahatisha kwa villareal

Lile benchi lote vilaza tu
 
Mabata yapo kwenye dimbwi lazima yawe na nguvu mana ndiyo sehemu pekee yanapoinjoy!
 
Back
Top Bottom