Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Usifurahi kiviile, hao Ihefu wachanga sana. Wewe huoni ni kama vile mpo kwenye mazoezi mepesi tu?
Sema Timu ya Wananchi imeimarika. Kumbuka miaka miwili au mitatu nyuma jinsi Ihefu ilivyokuwa inatusumbua.

Kama sikosei tuliwahi cheza nao mwaka fulani walitukazia mbaya mpaka tukaja kuwatoa kwenye matuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…