Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ulikuwa ni mchezo mgumu uliojaa kila aina za hujuma,vijana kama walivyoapa kuwa afe kipa afe beki au kiungo lazima timu ya wananchi itinge hatua ya makundi ndicho kilichotokea hapa. . Vijana wamepigana!Ahsante Dida ahsante wachezajii wote. . Ahsante benchi la ufundi. . Ahsante viongozi . . Shukrani kwenu wote mliofanikisha matokeo haya. .Asante mashabiki
 
Kujua mbinu za adui ni nusu ya kushinda vita .....kwa hiyo nyie wamatopeni mlivyogundua mbinu za Yanga mkajipangaje.?

Tumejipanga vyema kila idara....isipokuwa kwenye kuongea na marefa ndio inatushinda kwa kuwa mkono mkavu haulambwi......
 
Wamatopeni mwaka huu hadi mjinyonge

MKIONA KIMYA UJUE WASHAPAA , HAWAPO TENA TANZANIA.

"Mchezo wa soka una maajabu yake, tunachukua tahadhari hiyo, tunajua lolote laweza kutokea lakini tutawakabili na kuhakikisha tunaingia hatua ya 8 bora (makundi) kombe la shirikisho barani Afrika"Alisema Hans Pluijm dakika chache kabla ya msafara huo kuiacha ardhi ya Tanzania.

Na ukisikia kelele ujue ni bado ma saa machache tu kutua aridhi ya Tanzani
 
Mkuu usiwaombee mabaya maadui zako.....kwa kipindi hiki hatuna budi kukubali kuwa yanga ndio timu bora kwa hapa nchini na inaweza ikafanya maajabu.....sisi simba tujipange upyaaa...kwa misimu mingine miwili...
Mkuu nimeupenda uzalendo wako achilia mbal utan wetu wa jad hapa jukwaan na mitaan..Hongera sana Yanga kwa kututoa kimasomaso watanzania
 
Wamatopeni mwaka huu hadi mjinyonge

MKIONA KIMYA UJUE WASHAPAA , HAWAPO TENA TANZANIA.

"Mchezo wa soka una maajabu yake, tunachukua tahadhari hiyo, tunajua lolote laweza kutokea lakini tutawakabili na kuhakikisha tunaingia hatua ya 8 bora (makundi) kombe la shirikisho barani Afrika"Alisema Hans Pluijm dakika chache kabla ya msafara huo kuiacha ardhi ya Tanzania.

Na ukisikia kelele ujue ni bado ma saa machache tu kutua aridhi ya Tanzani

Haya wakimataifa......lakini msiusahau uwanja wenu wa kaunda....maana wakimataifa wanatakiwa wawe na uwanja wao.....mzuri usio kuwa na tope wala usiopata mafuriko.....
b83ceccde7dad4ba983268baff64cfad.jpg
 
Back
Top Bottom