Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Muro wanamuita Man kichefuchefu anasababisha watu wanafunga redio kipindi cha michezo kawapa majina ya kila aina watani kawafanya mashabiki wa Yanga wawe confident
 
kati ya watu wasioninyima usingizi ni Murro maana namuona kama mtoto fulani ama kuna vitu utotoni hakupitia
 
Inashangaza kuona mashabiki wa Yanga wote ni kama wamezaliwa mwaka 2005, yanga kuchukua ubingwa ni jambo la kawaida wenyeviti wote waliopita walifanya hivyo, labda mmesahau Yanga iliokuwa na mafanikio ni ile iliocheza makundi ligi ya mabingwa ikaazima wachezaji.

Lakini si hii ni aibu kupita na kujinasibu hayo ni mafanikio,sasa hapa toka mwenyekiti alipoingia na mkwara wa kuifunga tano simba bado hajafanikiwa mashabiki kuzimia na kulilia wamesubiri mpaka wamekata tamaa na kwenda kushangilia timu,hebu toeni sababu tatu tu za mafanikio ya mwenyekiti tangu achukue timu?
 
Inashangaza kuona mashabiki wa yanga wote ni kama wamezaliwa mwaka 2005,yanga kuchukua ubingwa ni jambo la kawaida wenyeviti wote waliopita walifanya hivyo,labda mmesahau yanga iliokuwa na mafanikio ni ile iliocheza makundi ligi ya mabingwa ikaazima wachezaji,lakini si hii ni aibu kupita na kujinasibu hayo ni mafanikio,sasa hapa toka mwenyekiti alipoingia na mkwara wa kuifunga tano simba bado hajafanikiwa mashabiki kuzimia na kulilia wamesubiri mpaka wamekata tamaa na kwenda kushangilia timu,hebu toeni sababu tatu tu za mafanikio ya mwenyekiti tangu achukue timu?

Subiri wa matopeni wenzio waje hapa ndio mpo level moja kifikra. Kwa sasa tuko bize na majukumu ya kimataifa
 
Inashangaza kuona mashabiki wa yanga wote ni kama wamezaliwa mwaka 2005,yanga kuchukua ubingwa ni jambo la kawaida wenyeviti wote waliopita walifanya hivyo,labda mmesahau yanga iliokuwa na mafanikio ni ile iliocheza makundi ligi ya mabingwa ikaazima wachezaji,lakini si hii ni aibu kupita na kujinasibu hayo ni mafanikio,sasa hapa toka mwenyekiti alipoingia na mkwara wa kuifunga tano simba bado hajafanikiwa mashabiki kuzimia na kulilia wamesubiri mpaka wamekata tamaa na kwenda kushangilia timu,hebu toeni sababu tatu tu za mafanikio ya mwenyekiti tangu achukue timu?
Ww Wa matopeni aka chura mafanikio ya yanga yanakuhusu nn
 
Inashangaza kuona mashabiki wa yanga wote ni kama wamezaliwa mwaka 2005,yanga kuchukua ubingwa ni jambo la kawaida wenyeviti wote waliopita walifanya hivyo,labda mmesahau yanga iliokuwa na mafanikio ni ile iliocheza makundi ligi ya mabingwa ikaazima wachezaji,lakini si hii ni aibu kupita na kujinasibu hayo ni mafanikio,sasa hapa toka mwenyekiti alipoingia na mkwara wa kuifunga tano simba bado hajafanikiwa mashabiki kuzimia na kulilia wamesubiri mpaka wamekata tamaa na kwenda kushangilia timu,hebu toeni sababu tatu tu za mafanikio ya mwenyekiti tangu achukue timu?

Mind ure business ,its not your concern at all
 
Aveva and his crew wana raha sana maana kama mashabiki wenye ndio uwezo wao huu wa kufikiri hakika wana haki ya kuwaburuza yaani wanaiwaza Yanga kuliko timu yao
ikiwa aveva anaburuza ,wale waliochoma moto magazeti kwa sababu zisizo na mashiko tuwaitaje?
 
Inashangaza kuona mashabiki wa yanga wote ni kama wamezaliwa mwaka 2005,yanga kuchukua ubingwa ni jambo la kawaida wenyeviti wote waliopita walifanya hivyo,labda mmesahau yanga iliokuwa na mafanikio ni ile iliocheza makundi ligi ya mabingwa ikaazima wachezaji,lakini si hii ni aibu kupita na kujinasibu hayo ni mafanikio,sasa hapa toka mwenyekiti alipoingia na mkwara wa kuifunga tano simba bado hajafanikiwa mashabiki kuzimia na kulilia wamesubiri mpaka wamekata tamaa na kwenda kushangilia timu,hebu toeni sababu tatu tu za mafanikio ya mwenyekiti tangu achukue timu?

Kwa hiyo wewe unataka wana Yanga wafanyaje?
 
Back
Top Bottom