Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20211225_124656.jpg
 
1. Baiskeli ya mabua

2. Mnatushikia nafasi

3. Mnatusindikiza kwenye taji la 5 back to back

Cmn
Yaani mkiandika haya huwa mnasahau kabisa kama sometimes mambo yanabadilika.

Kabla ya hapo jiulize nani alikuwa kinara katika kufululiza kubeba hilo kombe.

Niseme tu this time itabakia kuwa story.

#BingwaNbcleague2021/2022
 
Yaani mkiandika haya huwa mnasahau kabisa kama huwa sometimes mambo huwa yanabadilika.

Kabla ya hapo jiulize nani alikuwa kinara katika kufululiza kubeba hilo kombe.

Niseme tu this time itabakia kuwa story.

#BingwaNbcleague2021/2022
Salam kutoka Tabora hazijakufikia mamii?
 
Back
Top Bottom