Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Kesho nitakutafuta mapemaMukishaamka munikumbushe niwape mswaki. Teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho nitakutafuta mapemaMukishaamka munikumbushe niwape mswaki. Teh
Wakipigwa mnanuna nyieKesho tunafanya bonge la fitna ndo mjue Simba Taifa Kubwa[emoji16]
Kesho matokeo yenu ni kufungwa tuWakipigwa mnanuna nyie
Basi sawaKesho matokeo yenu ni kufungwa tu
Na bado.Mmezidisha zarau
Kila lakheri timu yangu ya utotoni Biashara United. Kesho biashara ni asubuhi tu.Na bado.
Nenda Coco ukapate upepo wa kujipoza kesho[emoji16]Na bado.
Kesho tunawafanyia umafia ambao hawajawahi kuuona[emoji3]Kila lakheri timu yangu ya utotoni Biashara United. Kesho biashara ni asubuhi tu.
Hahahaaa. Kesho ndo utajua vice versa huwa nayo ni true.Kila lakheri timu yangu ya utotoni Biashara United. Kesho biashara ni asubuhi tu.
Ujue bana mwishowe kesho tag zangu zote mutazipotezea hasa baada ya matokeo kuja kinyume.Nenda Coco ukapate upepo wa kujipoza kesho[emoji16]
Mkuu acha unamtishia Shadeeya ujue. Atakosa furaha huyu.Kesho tunawafanyia umafia ambao hawajawahi kuuona[emoji3]
Umafia bongo. 😅😅. Hizo hekaya tumeshazizowea niseme tu hautaamini Mtani.Kesho tunawafanyia umafia ambao hawajawahi kuuona[emoji3]
Nilikumiss Mtani. Hivi upo? 😉Mkuu acha unamtishia Shadeeya ujue. Atakosa furaha huyu.
Sijui nikwambie? Ila acha nikae kimya tu.Hahahaaa. Kesho ndo utajua vice versa huwa nayo ni true.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Usithubutu kuichukulia dhamana timu yako eti kwa vile imeshinda hizi mechi za mwanzo. Ngoma ya watoto haikeshiMukishaamka munikumbushe niwape mswaki. Teh
Nipo Mtani japo na wewe umepotea sana.Nilikumiss Mtani. Hivi upo? 😉
Sijakataa ila hata kushinda mpaka mwisho haishindikani pia. Teh teh.Usithubutu kuichukulia dhamana timu yako eti kwa vile imeshinda hizi mechi za mwanzo. Ngoma ya watoto haikeshi
Kwenye BonanzaBaada ya kumsulubu biashara kesho Timu ya Wananchi tutahamia huku.
View attachment 2057201
[emoji16]Hahahaaa. Kesho ndo utajua vice versa huwa nayo ni true.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.