Life Mtani. Nipo shamba eti Mtandao ni wa kutafuta hivyo nikiibuka kama hivi ndo naperuzi kidogo.Nipo Mtani japo na wewe umepotea sana.
Mimi nitakuwepo online muda woteUjue bana mwishowe kesho tag zangu zote mutazipotezea hasa baada ya matokeo kuja kinyume.
Na msipoangalia hata hili mtalikosa.Baada ya kumsulubu biashara kesho Timu ya Wananchi tutahamia huku.
View attachment 2057201
Cha ajabu na nyie mnashiriki. πKwenye Bonanza
Mechi ya kesho tumeipania kuliko hao Biashara wenyewe[emoji16]Mkuu acha unamtishia Shadeeya ujue. Atakosa furaha huyu.
Hahahaaa. Lol.Sijui nikwambie? Ila acha nikae kimya tu.
Sawa sawa tuko pamoja Mtani.Life Mtani. Nipo shamba eti Mtandao ni wa kutafuta hivyo nikiibuka kama hivi ndo naperuzi kidogo.
Halafu kumbuka wachezaji wenu jana walipewa likizo ya muda mfupi[emoji28]Umafia bongo. [emoji28][emoji28]. Hizo hekaya tumeshazizowea niseme tu hautaamini Mtani.
Bao mbili tu zinamtosha biashara. Teh.
Sijui unapatia wapi nguvu ya kumlia yamini biashara kiasi hicho? πMimi nitakuwepo online muda wote
Kesho watamtukana sana Fei koti[emoji1787]Sijui nikwambie? Ila acha nikae kimya tu.
ππ Mwisho wa siku tukimkalisha biashara na nyie mnapata homa kuzidi biashara wenyewe. ππMechi ya kesho tumeipania kuliko hao Biashara wenyewe[emoji16]
π€Sawa sawa tuko pamoja Mtani.
Nyie malengo yenu ni kumfunga Simba na kuchukua MapinduzBaada ya kumsulubu biashara kesho Timu ya Wananchi tutahamia huku.
View attachment 2057201
Ushaanza kutafuta sababuLife Mtani. Nipo shamba eti Mtandao ni wa kutafuta hivyo nikiibuka kama hivi ndo naperuzi kidogo.
Kesho mtatukana sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui unapatia wapi nguvu ya kumlia yamini biashara kiasi hicho? [emoji41]
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
π π unanijua Mtani mi kiwango changu cha woga huwa kipo chini saana. Lol.Ushaanza kutafuta sababu
πNyie malengo yenu ni kumfunga Simba na kuchukua Mapinduz
Hahahahaaaa. Msimu huu hatujajiandaa kwa hilo.Kesho mtatukana sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usile Biriani kama Fei koti ukashindwa kulia kesho[emoji16][emoji28][emoji28] unanijua Mtani mi kiwango changu cha woga huwa kipo chini saana. Lol.
Nitajitahidi niwepo.
Kesho ndoto za ubingwa zinaanza kufifia[emoji16]Hahahahaaaa. Msimu huu hatujajiandaa kwa hilo.