Nyinyi si ndio waasisi......
Kwa hiyo hata point sita ulizonipa TFF walihusika.?
Sasa kama sisi ndio waanzilishi mbona ushindi wa uwanjami hamuigi?
Naombea mpangwe na Tp Mazembe na Waarabu
Asante Aveva tumekusikia na tumekuelewa msalimie Nanara na Hanithi PopoKwa kuwa sisi hatuna hela ya kuwapa marefa...na vile vile hatuna ushawishi TFF....
Asante Aveva tumekusikia na tumekuelewa msalimie Nanara na Hanithi Popo
Yanga ni chakulaa ya mwarabu, kukojozwa ni wajibu wao..Naombea mpangwe na Tp Mazembe na Waarabu
Tena kwa asilimia mia na bila ya kusahau fitna za hali ya juu.....wengine mliowahonga hela leo hii mmeshawanunua....
Kujua mbinu za adui ni nusu ya kushinda vita .....kwa hiyo nyie wamatopeni mlivyogundua mbinu za Yanga mkajipangaje.?
Kwa kuwa sisi hatuna hela ya kuwapa marefa...na vile vile hatuna ushawishi TFF....
Mkuu usiwaombee mabaya maadui zako.....kwa kipindi hiki hatuna budi kukubali kuwa yanga ndio timu bora kwa hapa nchini na inaweza ikafanya maajabu.....sisi simba tujipange upyaaa...kwa misimu mingine miwili...
Hela hamna sawa...Mbona hata mpira uwanjani hatuuoni?
Asante...kubali tu Yanga ndio timu ya Taifa Na kimataifa.!
Mkuu nimeupenda uzalendo wako achilia mbal utan wetu wa jad hapa jukwaan na mitaan..Hongera sana Yanga kwa kututoa kimasomaso watanzaniaMkuu usiwaombee mabaya maadui zako.....kwa kipindi hiki hatuna budi kukubali kuwa yanga ndio timu bora kwa hapa nchini na inaweza ikafanya maajabu.....sisi simba tujipange upyaaa...kwa misimu mingine miwili...
Wamatopeni mwaka huu hadi mjinyonge
MKIONA KIMYA UJUE WASHAPAA , HAWAPO TENA TANZANIA.
"Mchezo wa soka una maajabu yake, tunachukua tahadhari hiyo, tunajua lolote laweza kutokea lakini tutawakabili na kuhakikisha tunaingia hatua ya 8 bora (makundi) kombe la shirikisho barani Afrika"Alisema Hans Pluijm dakika chache kabla ya msafara huo kuiacha ardhi ya Tanzania.
Na ukisikia kelele ujue ni bado ma saa machache tu kutua aridhi ya Tanzani