Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mkuu unakumbuka kipindi kile zahera alishawahi kutunusuru kwa kujitolea pocket money yake kuichangia yanga?

Sasa kwanini GSM anazidiwa maujanja kama hayo na mtu ambaye anamlipa mshahara?

Halafu huku JF hawawezi kuja si unajua ukifungua tu kwa nje kuna maandishi yanayosomeka "where we dare to talk openly"

Hlafu hiyo ya posho ya manara naiona kama ina make sense kwasababu project hii kaisimamia kidedea kweli yani
 
Hii timu bora tumpe zahera tu...
Anamapenzi ya kweli na yanga yetu....

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…