Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kikosi cha Timu ya Wananchi kilipowasili Uwanja wa Amani Zanzibar.
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi dhidi ya Azam Semi Final Mapinduzi Cup 16:15hrs

#DaimaMbelenyumaMwiko.
 
Tunaelekea kwenye penalti baada ya mpira kuisha bila bila baada ya Dkk 90.
 
Tukishinda tushinde tu lakini kipa huyu siye kwenye penalti.
 
Ninyi mazezeta si mlisema mnaanza na mapinduzi?
Hivi kumbe mlikuwa mnamaanisha mapinduzi balama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…