Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wananchi tusivunjike moyo, mpira ndo ulivyo leo bahati haikuwa kwetu tusimlaumu sana kocha wachezaji wamepambana penalty hazina mwenyewe

Yanga daima mbele nyuma mwiko
Hakuna kuvunjika moyo, YANGA DAIMA MBELE. Huo ndiyo mpira.
 
Ukiacha pre season, mechi kama hizi ndio za kujaribu mifumo na wachezaji.

Lakini tupotaka tukaze tuu mpaka wachezaji wasiopata namba waendelee kusugua benchi naona sio sawa.

Ukizingatia mechi yenyewe tumetolewa kwa matuta.

Tungefungwa ndani dakika 90 si bakora zingetembea?

Kufungwa kunaumiza na hasa mtani wako akiwa anafanya vizuri lakini sijaona sababu ya kureact namna hiyo.
Nashangaa, mwaka jana tulichukua mapinduzi baadae ikafata misiba sioni sababu ya kukomaa na bonanza
 
Screenshot_20220111-090330.jpg
 
Back
Top Bottom