Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwa hiyo na leo tulikuwa tunawajaribu wachezaji?

Kulingana na majaribio tuliyofanya kupitia haya matokeo tuliyoyapata, hawa wachezaji wanatufaa au hawatufai?

Au tuwape muda wa kutosha zaidi kuendelea kuwajaribu?
Wachezaji bado wanafaa na kocha pia.

Kilichotokea ni sehemu ya mchezo hakuna wa kulaumiwa.
 
20220111_165851.jpg
 
Mdhamini anapiga hela na mpaka anadhamini ligi huku vijana wanashindwa kupendeza kisa malipo kiduchu. Utopolo amkeni
Hayo malipo yao kiduchu we uliyaona wapi ulete na sisi wengine tuone ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom