Wachezaji bado wanafaa na kocha pia.Kwa hiyo na leo tulikuwa tunawajaribu wachezaji?
Kulingana na majaribio tuliyofanya kupitia haya matokeo tuliyoyapata, hawa wachezaji wanatufaa au hawatufai?
Au tuwape muda wa kutosha zaidi kuendelea kuwajaribu?
Kilichotokea ni sehemu ya mchezo hakuna wa kulaumiwa.