Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
makambo,kaseke,paul godfrey watolewe haraka kabla hawajaanza kuroga wenzao hapo kambini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaze daraja lake ni dogo sanaNaona umetufwata mpaka huku. [emoji1787][emoji1787]
Usitukane mamba bro.
KazeKocha gani?
Nabi au kaze?
Hakuna kuvunjika moyo, YANGA DAIMA MBELE. Huo ndiyo mpira.Wananchi tusivunjike moyo, mpira ndo ulivyo leo bahati haikuwa kwetu tusimlaumu sana kocha wachezaji wamepambana penalty hazina mwenyewe
Yanga daima mbele nyuma mwiko
Kama jana ile Sub ya Kipa sijui alitumia akili ya wapi aisee.Kaze daraja lake ni dogo sana
Mara paap Nabi kagoma kurudi
Na jana nyuma iliingizwa miko 9Wananchi tusivunjike moyo, mpira ndo ulivyo leo bahati haikuwa kwetu tusimlaumu sana kocha wachezaji wamepambana penalty hazina mwenyewe
Yanga daima mbele nyuma mwiko
Una lawama sana huoni kazi anayo ifanya Saido?Kaze aache ujinga mechi zote anataka saido aanze na amalize dk 90 akumbuke waliopo benchi nao niwachezaji wa yanga sasa nimeelewa kwanini pablo hataki wasaidizi
Nashangaa, mwaka jana tulichukua mapinduzi baadae ikafata misiba sioni sababu ya kukomaa na bonanzaUkiacha pre season, mechi kama hizi ndio za kujaribu mifumo na wachezaji.
Lakini tupotaka tukaze tuu mpaka wachezaji wasiopata namba waendelee kusugua benchi naona sio sawa.
Ukizingatia mechi yenyewe tumetolewa kwa matuta.
Tungefungwa ndani dakika 90 si bakora zingetembea?
Kufungwa kunaumiza na hasa mtani wako akiwa anafanya vizuri lakini sijaona sababu ya kureact namna hiyo.
Kazi gani amefanya? wote mashahidi ambundo kacheza mechi 2 katoa assist 2 sasa unampangaje mtu alietoka kula bata na amepasha siku moja?Una lawama sana huoni kazi anayo ifanya Saido?