Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyo Yacouba ikibidi aende tu. [emoji41]
Nope! Yacouba ni mzuri kumbuka ile nafasi yake anakompiti na tibanzokinza na ambundo.. Kati ya hao kwangu yacouba bado ni bora kwanini? Kwanza ana kasi pia ana akili ya mpira labda tatizo lake kubwa ni kulazimisha kufunga hata kwenye angle ngumu kwa lugha rahisi ana kaubinafsi.. Nazani hii ilichagizwa na ujio wa mayele alihofia kupoteza ustar aliouunda msimu uliopita kumbuka ndo alikua mfungaji bora wa timu..
 
Itakuwa poa sana.

Ila tatizo lililopo bana usishangae hao watoto wakaishia kusugua benchi tu.
 
Na Manara inabidi tumbadilishie namba
 
Mlishaona mko kwenye kupoteza muelekeo hivyo mkaamua mumrudishe. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila sio mbaya mana nakumbuka enzi za Okwi naye, yaani mlishajijenga bila yeye hamuwezi na hii ndo ipo kwa Chama. Wacha ale hela zenu Makolo.
Na makombe pia tunapata lakini.....
Sio yikpe na kina mwaisa wanawapiga pesa alafu mnatoka kapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Hivi na Mkataba wake bado ni mrefu kweli?

Au ndo ile mikataba yetu ya miaka miwili miwili na kama ni hivyo atakuwa mbioni kuimaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…