Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Nope! Yacouba ni mzuri kumbuka ile nafasi yake anakompiti na tibanzokinza na ambundo.. Kati ya hao kwangu yacouba bado ni bora kwanini? Kwanza ana kasi pia ana akili ya mpira labda tatizo lake kubwa ni kulazimisha kufunga hata kwenye angle ngumu kwa lugha rahisi ana kaubinafsi.. Nazani hii ilichagizwa na ujio wa mayele alihofia kupoteza ustar aliouunda msimu uliopita kumbuka ndo alikua mfungaji bora wa timu..Huyo Yacouba ikibidi aende tu. [emoji41]