Tunajua watakamia sana ila mwisho wa siku tutapata matokeo kama kawaida.J/pili wakati unatizama mpira uwe na glasi ya maji baada ya mechi kuisha utanishukuru mtani[emoji28]
Pale mtu ambae angefiti kabisa kwa hawa tunaowajua ni aidha Simon Msuva au Moses PhiriIle namba lazima tutafute mchezaji mwenye kiwango sana
😀😀Nani tena huyo!?View attachment 2081586
Tangu amekuja na KMKM Dar mwaka Jana namfuatilia Sana. Ningeshangaa kama asingepata timu bara. Naamini huyu ni Canavaro ajaye.Ooh! Hivyo umemuona kwenye mechi hizi za Mapinduzi tuu au kabla ya hapo Mkuu?
Kweli kabisa na sijuagi nini kinakwamishaga.Ile namba lazima tutafute mchezaji mwenye kiwango sana
Nilisoma sehemu eti Makolo wanamfuatilia kwa ukaribu Msuva au yalikuwa maneno tu?Pale mtu ambae angefiti kabisa kwa hawa tunaowajua ni aidha Simon Msuva au Moses Phiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mikataba huwa ni kichefu chefu saa ingine ni hiyo basi tu hatunaga jinsi. 🙁
Ooh! Wacha nisubiri nione japo huenda akafanya vizuri mana Wazenji wakija huku Bara wanajitahidi kujituma.Tangu amekuja na KMKM Dar mwaka Jana namfuatilia Sana. Ningeshangaa kama asingepata timu bara. Naamini huyu ni Canavaro ajaye.
Hahahaa. Umefanya nimecheka Bro.Hivi huyo chico ushindi toka TP Mazembe anayetajwa tajwa nani anamfahamu humu? Mi simuelewi na hata you tube sijaelewa kihivyoo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzur wa Tanga njia ya kuingilia moja mnapigwa kipapai pale Hale shuhuli imeisha
Mtu akiwaona anaweza dhan wachezaj kweliKama kawaida wananchi tulishatimba ndani ya jiji la Tanga.
#Wale mnaotutisha na albadiri ndo mtajua hamjui. [emoji3]
View attachment 2082254
Utakuja kusema hapa siku ukimshuhudia. Anachotakiwa kujitahidi ni kuongeza mwili na utimamu.Ooh! Wacha nisubiri nione japo huenda akafanya vizuri mana Wazenji wakija huku Bara wanajitahidi kujituma.
Ni kama akili huwa zinawaruka? Au ndo akili pekee mlizonazo hamuwezi kuziboresha?Mtu akiwaona anaweza dhan wachezaj kweli