Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Tangu amekuja na KMKM Dar mwaka Jana namfuatilia Sana. Ningeshangaa kama asingepata timu bara. Naamini huyu ni Canavaro ajaye.
Ooh! Wacha nisubiri nione japo huenda akafanya vizuri mana Wazenji wakija huku Bara wanajitahidi kujituma.
 
Kama kawaida wananchi tulishatimba ndani ya jiji la Tanga.

#Wale mnaotutisha na albadiri ndo mtajua hamjui. 😀
20220115_141823.jpg
 
Back
Top Bottom