Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Ila kumbukeni bado kuna michezo 16 mbeleni,sasa nyie endeleeni kuimba wimbo wa ubingwa halafu mwisho msimu muanze kutafutanaHivyo hapo munaombea sana tufungwe na Polisi Tanzania game ijayo?
Huezi amini tunatoboa hiyo game. Teh teh
Tatizo nyie mnaishi kwa akili za Misimu kadhaa iliopita. Nikwambie tu mambo huwa yanabadilika eti.Ila kumbukeni bado kuna michezo 16 mbeleni,sasa nyie endeleeni kuimba wimbo wa ubingwa halafu mwisho msimu muanze kutafutana
Yamebadilikaje,embu nieleweshe[emoji16]Tatizo nyie mnaishi kwa akili za Misimu kadhaa iliopita. Nikwambie tu mambo huwa yanabadilika eti.
Yaani kilichotokea mwaka jana inawezekana kisitokee na mwaka huu yaani ikawa kinyume kabisaa.Yamebadilikaje,embu nieleweshe[emoji16]
Sawa Mwalimu[emoji28]Yaani kilichotokea mwaka jana inawezekana kisitokee na mwaka huu yaani ikawa kinyume kabisaa.
Hivyo musikariri.
Kaseke hana hata aibu
Kwa nini Mkuu?Kaseke hana hata aibu
Msimu ukefika nusu hana hata assist ukiachilia mbali goal in short hana msaada wowoteKwa nini Mkuu?
Ujue bana kuna mwengine ana enjoy tu kuonekana anacheza timu kubwa na sio kuendeleza kipaji chake.Msimu ukefika nusu hana hata assist ukiachilia mbali goal in short hana msaada wowote
Shemela Shadeeya naomba line up, na sub zilizofanyika sijacheki gemu.TUTAPASHA MISULI KIDOGO HAPO 16:00Hrs KWA MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA MBUNI FC.
View attachment 2087736
Hii ndio kazi yake kwa ss.
FIRST ELEVEN ilikuwaShemela Shadeeya naomba line up, na sub zilizofanyika sijacheki gemu.
Hahahaa. Kwa uwanjani hamna kitu.Hii ndio kazi yake kwa ss.
Nakupata shemela Shadeeya na Magaigwa labda.FIRST ELEVEN ilikuwa
JOHOLA
PAUL GODFREY
BRYSON
MUKOKO
BACCA
MAUYA
SUREBOY
AMBUNDO
FARID
KASEKE
MAKAMBO
SUBS.
MAGAIGWA
JOB
BALAMA
MOLOKO
USHINDI
FEISAL
NGUSHI
Ambao hawakucheza katika hapo ni FEISAL, MOLOKO na JOB kama sijakosea Shemela.
Hivi Shem na yule Ushindi huko alikotoka alikuwa na namba kweli? Sababu aliingia jana nimemuona ana kauzito flani hivi au ndo ugeni?Nakupata shemela Shadeeya na Magaigwa labda.
Kweli, hana match fitness nafikiri.Hivi Shem na yule Ushindi huko alikotoka alikuwa na namba kweli? Sababu aliingia jana nimemuona ana kauzito flani hivi au ndo ugeni?
Viherehere washa tulizwa tunacheza bila stressWakuu game ya kesho munaizungumziaje anafungika Polisi Tanzania au ndio atachafua mlolongo wetu wa game za nyuma?