Hakika Mkuu. Tukazibebe 3 tutulie.Viherehere washa tulizwa tunacheza bila stress
Nyepesi sana.Wakuu game ya kesho munaizungumziaje anafungika Polisi Tanzania au ndio atachafua mlolongo wetu wa game za nyuma?
Hawachomoki hao Amri Abeid....0-2.Wakuu game ya kesho munaizungumziaje anafungika Polisi Tanzania au ndio atachafua mlolongo wetu wa game za nyuma?
Ooh! Sawa Mkuu.Nyepesi sana.
Mechi ya mwisho nadhani tulitoka sare nao ya moja moja.
Enzi hizo tulikuwa na wakina Sarpong na Fiston abdulrazak.
Yaani 80 percent ya wachezaji waliopo ivi sasa hawakuwepo siku hiyo.
Itakuwa poa sana Shem.Hawachomoki hao Amri Abeid....0-2.
Tukimaintain hilo gap mpaka zinabaki mechi 10 basi hawana chao.Yanga oyeee….
#Tutaelewana tu #Nbcpremierleqgue. Hata wa Msimbazi wafanye nini. Kombe letu…
Yanga oyeee…
Ndo raha yake hiyo.Itakuwa poa sana Shem.
Tuzidi kupigwa na baridi kule kileleni.
Oyeeeee.Yanga oyeee….
#Tutaelewana tu #Nbcpremierleqgue. Hata wa Msimbazi wafanye nini. Kombe letu…
Yanga oyeee…
Yap! Hiki ndo cha muhimu Shem.Tukimaintain hilo gap mpaka zinabaki mechi 10 basi hawana chao
Tuanze kumiliki koti tu sasa Shem. Hahahaaaaa.Ndo raha yake hiyo.
Hatuwezi rudia makosa kama hayo.Yap! Hiki ndo cha muhimu Shem.
Kikubwa wachezaji wasilewe sifa na kuona kama tushachukua tayari.
Jana wamekimbia hata kuhojiwa hawataki wamesahau kuwa ndiyo mpira ulivyo, Mimi nasubiri mechi ya Leo kwanza, siunajua polisi wanavyojua kubana. Lakini matumaini ya ushindi yapo.Oyeeeee.
Na ile kauli yao ya eti hata mwaka jana ilikuwa hivi hivi huu ndio wakati wake wa kuifuta.
Na huu ndio mwanzo mbona watakimbia sana. HahahaaaJana wamekimbia hata kuhojiwa hawataki wamesahau kuwa ndiyo mpira ulivyo, Mimi nasubiri mechi ya Leo kwanza, siunajua polisi wanavyojua kubana. Lakini matumaini ya ushindi yapo.
Sawa sawa mwananchiKila la Kheri Timu ya Wananchi hapo 16:00Hrs dhidi ya Polisi Tanzania.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.