Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ila Kumuacha Mukoko Aende Zake Kipindi Hiki Sio Fair Kabisa Kwa Yanga Kitu Wamefanya Kwa Jinsi Mwamba Alivyopambana Na Kuipenda Yanga ilibidi Huu Ubingwa Ashuhudie Yule Jamaa...Yani Usajili Wa Chama Ndo Umewakurupua Kukubali Dili Ya Namna Hii Ya Kumchukua Huyo Chico Akati Mawinga Tunao Wengi Mpk Akina Balama, Yusuph Athuman Hawachezi Yani Kwasababu Ya Huyu Chama Ambaye Tumechz Naye Mara Nyingi Na Hajawahi Kutudhuru Ukiacha ile Mechi Ya Mchongo Ya Azam Federation Cup...Na Mara Zote Izo Alikuwa Anapotea Na Kufichwa Na Kijana Wa Kizanzibar Fei Toto...Daah Kusema Ukweli Wa Moyoni Mwangu Nimeumia Kuondoka Kwa Teacher Mukoko Katika Kipindi Hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…