π Huenda aliipenda kwa dhati Timu ya Wananchi ila ndo hivyo kiwango chake hakikutosha kumshawishi kocha kumbakiza.Asante Sana Kwa kumkumbuka Mwamba huyu. Miezi michacbe nyuma alisikika akisema miongoni mwa mambo yanayomnyima Raha ni kuachwa na timu yenu. Apumzike Kwa Amani beki mwenye kipaji na mapenzi ya kweli Kwa Taifa lake.
Naomba ratiba ya mechi tatu za yanga
Eggizaktiliy. ππMlinda mlango tishio[emoji28]
Ni ujinga mtupu yani!Ni kweli ndugu yangu jana walitunyima nafasi ya wazi kabisa hilo halipingiki, ila bana na sisi inatupasa tutengeneze nafasi nyingi zaidi na zaidi ili hata kama imetokea tumeminywa sehemu basi zile nyingine zikave ili tupate matokeo.
Sababu waamuzi wa hapa Tz akili zao wanazijuaga wenyewe na hii yote ni ile kwamba game ikiisha imeisha hivyo hata akifungiwa matokeo yanabakia yale yale na hayaezi badilika huku yeye ameshatimiza adhma yake.
Kaanza mazoezi mepesi au full?
Wameshaanza na kufanana. Mwaka huu hatuachi mkia ukatishe! Tunaukataaa!
Mwenye timu yake!
Daima tutamkumbuka!!!Inalillah wa inna ilaihi rajiun.
View attachment 2116374
Umeonaee. Yaani kunakuwa ziiiii. πYaani weekend bila Yanga kucheza taifa lote linakuwa kama lipo siku ya jumatatu!
Ni yale mepesi.Kaanza mazoezi mepesi au full?
Basi nilidhania peke yangu ndo nimeona kwa mbali wanafanana.Wameshaanza na kufanana. Mwaka huu hatuachi mkia ukatishe! Tunaukataaa!
Fundi wa mpira kutoka Zanziberi. πMwenye timu yake!
Tafuta wa kucheza nae[emoji28][emoji28][emoji28]Yaani weekend bila Yanga kucheza taifa lote linakuwa kama lipo siku ya jumatatu!
Et nini[emoji1787]Umeonaee. Yaani kunakuwa ziiiii. [emoji3]
Endeleeni na malalamiko sisi bado tuko katika majukumu ya kimataifa[emoji16]Basi nilidhania peke yangu ndo nimeona kwa mbali wanafanana.
Wamebebwa bebwa lakini haiwasaidii.