Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
🙏 Huenda aliipenda kwa dhati Timu ya Wananchi ila ndo hivyo kiwango chake hakikutosha kumshawishi kocha kumbakiza.Asante Sana Kwa kumkumbuka Mwamba huyu. Miezi michacbe nyuma alisikika akisema miongoni mwa mambo yanayomnyima Raha ni kuachwa na timu yenu. Apumzike Kwa Amani beki mwenye kipaji na mapenzi ya kweli Kwa Taifa lake.
Ila ameniuma sana aisee. Mwisho wa siku ni kumuombea tu huku sisi wengine tukiendelea kuitafakari kesho yetu ambayo ni fumbo kubwa sana.